
Quotable Lyrics;
Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata
Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani
Yupo wapi huyu
Baba kaniuoizia
Yupo waapi huyu
Mama haishi kulia
Yupo wapi huyu
Mimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Sio mwana rahabu mlomkuta tanga
“Amepotea” This latest hard project is bound to go to the top of the charts as we can see that the team behind it did their best to the execution of the work.